FacebookTwitter

MEWATA INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA ALIYEKUWA KATIBU MKUU WA MEWATA

Chama Cha Madaktari Wanawake Tanzania (MEWATA) kinasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wa MEWATA, Dr Subilaga Kasesela Kaganda, kilichotokea siku ya Jumatano, tarehe 17 mwezi Mei katika hospitali ya Apollo, Mjini New Delhi nchini India, ambapo alikuwa akipatiwa matibabu.

MEWATA daima itamkumbuka Dr Subilaga kama mchapakazi na daktari aliyejitoa kusaidia wanawake wa Tanzania ambapo aliratibu na kufanikisha mazoezi ya uchunguzi na matibabu ya saratani ya matiti yaliyofanywa na MEWATA nchini kuanzia mwaka 2005 mpaka mauti yalipomkuta. Mazoezi haya yalifungua ukurasa mpya katika mapambano dhidi ya saratani ya matiti na saratani ya mlango wa kizazi kwa wanawake wa Tanzania.

MEWATA inaipa pole familia, ndugu, jamaa, marafiki na wanachama wake wote kwa ujumla.

Msiba unafanyika nyumbani kwa marehemu, Mikocheni B, barabara ya Warioba na Mazishi yatafanyika siku ya Jumamosi tarehe 20 Mei katika makaburi ya Kinondoni, Dar es salaam.

“DAIMA TUTAKUENZI”

MY LIFE, MY HEALTH

Healthy diet according to WHO to reduce the risk of cancer and other non communicable diseases

  • A healthy diet helps protect against malnutrition in all its forms, as well as non communicable diseases (NCDs), including diabetes, heart disease, stroke and cancer.
  • Unhealthy diet and lack of physical activity are leading global risks to health.
  • Healthy dietary practices start early in life breastfeeding fosters healthy growth and improves cognitive development, and may have longer-term health benefits, like reducing the risk of becoming overweight or obese and developing NCDs later in life.
  • Energy intake (calories) should be in balance with energy expenditure. Evidence indicates that total fat should not exceed 30% of total energy intake to avoid unhealthy weight gain, with a shift in fat consumption away from saturated fats to unsaturated fats, and towards the elimination of industrial trans fats.
  • Limiting intake of free sugars to less than 10% of total energy intake is part of a healthy diet. A further reduction to less than 5% of total energy intake is suggested for additional health benefits.
  • Keeping salt intake to less than 5 g per day helps prevent hypertension and reduces the risk of heart disease and stroke in the adult population.
  • WHO Member States have agreed to reduce the global population’s intake of salt by 30% and halt the rise in diabetes and obesity in adults and adolescents as well as in childhood overweight by 202.

PHOTO GALLERY

Pics of MEWATA AGM 2016
MEWATA scientific conference and Annual General Meeting was conducted on 18th November 2016 in Mwanza region. Members from different regions and zones participated this important meeting. This year AGM will be conducted in Dar es Salaam MORE GALLERY